1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nchi za maziwa makuu zaazimia kuifufua jumuiya yao ya kiuchumi

19 Aprili 2007

Nchi tatu za maziwa makuu zimeanzisha mikakati ya kufufua jumuiya ya kiuchumi iliyosambaratika miaka kumi iliyopita.

https://p.dw.com/p/CHFr

Rwanda,Burundi na Jamhuri ya Kidemorasi ya Kongo wametangaza hayo katika mkutano wa kujadili usambazaji wa umeme nchini Rwanda.

Mwandishi wetu Christopher Karenzi anaripoti zaidi kutoka Rwanda.