1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

N'DJAMENA:Ndege ya abiria yatekwa N'djamena

24 Januari 2007
https://p.dw.com/p/CCYG

Ndege moja ya abiria imetekwa nyara na kuelekezwa katika mji mkuu wa Chad wa N’djamena kulingana na duru za serikali.Mpaka sasa hakuna maelezo yoyote yaliyotolewa kuhusu utekeji huo.Haijulikani idadi kamili ya abiria waliokuwemo kwenye ndege hiyo au watekaji wenyewe.