1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ni miaka 25 tangu ujumbe wa kwanza wa sms utumwe

12 Desemba 2017

Ni miaka 25 tangu ujumbe wa kwanza mfupi wa simu ya mkononi (SMS) kutumwa, utasikia pia kuhusiana na Facebook kuzindua App ya Messenger mahsusi kwa watoto kuzungumza na wazazi wao, pamoja na yaliyovuma mitandaoni, jiunge naye Jacob Safari.

https://p.dw.com/p/2pBul