1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nini hatima ya Kenya kisiasa baada ya uamuzi wa ICC?

Mohammed Abdulrahman30 Januari 2012

Mohammed Abdulrahman anaongoza kipindi cha maoni kutoka Deutsche Welle, swali kubwa likiwa hatima ya kisasa ya Kenya baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kuwakuta Wakenya wanne na kesi ya kujibu.

https://p.dw.com/p/13t3p
Mmoja wa wanasiasa wa Kenya walioonekana na kesi ya kujibu mbele ya ICC.
Mmoja wa wanasiasa wa Kenya walioonekana na kesi ya kujibu mbele ya ICC.Picha: dapd