1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nini taswira ya usalama wa baharini katika Afrika ya Mashariki?

19 Septemba 2011

Kutokana na kuzama kwa meli ya Spice Islander katika visiwa vya Zanzibar mwanzoni mwa mwezi Septemba 2011 kulikoua mamia ya watu, Maoni Mbele ya Meza ya Duara yanajadili usalama kwenye usafiri wa bahari Afrika Mashariki.

https://p.dw.com/p/Rmdf
Waokoaji wakiendelea na kutoa miili na majeruhi wa ajali ya meli ya Spice Islander
Waokoaji wakiendelea na kutoa miili na majeruhi wa ajali ya meli ya Spice IslanderPicha: picture-alliance/dpa

Othman Miraji anawakusanya pamoja watu wenye taaluma na uzoefu katika masuala ya usafiri wa bahari kujadiliana nao juu ya ajali hii na hali kwa ujumla kwenye pwani ya Afrika ya Mashariki.

Mtayarishaji: Othman Miraji
Mhariri: Josephat Charo