1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Odinga hatoshiriki uchaguzi hadi madai yake yatimizwe

Josephat Charo
5 Septemba 2017

Raila Odinga amesema muungano wa NASA hautashiriki katika uchaguzi mpya wa rais kwa tarehe iliyotangazwa na Tume ya uchaguzi, ya Oktoba 17. Odinga amesema ni hadi pale watakapopata hakikisho kuhusu masuala kadhaa ya kisheria na kikatiba.

https://p.dw.com/p/2jNrj