1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Odinga: Serikali inapanga kuiba kura

Elizabeth Shoo11 Februari 2016

Muungano tawala wa Jubilee Kenya umejadili malalamiko ya upinzani kwamba serikali inapanga kuiba kura mwakani. Wabunge wa Jubilee wameitaja kauli ya Raila Odinga wa upinzani kuwa dalili ya kushindwa.

https://p.dw.com/p/1Htvq
Kiongozi wa upinzani Kenya, Raila Odinga
Picha: DW/A. Schmidt

[No title]