1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Operesheni Mosul yaendelea vizuri

18 Oktoba 2016

Operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul nchini Iraq yaendelea vizuri. Pande hasimu za nchini Yemen zakubali kusitisha mapigano kwa masaa 72. Na mahakama ya katiba ya DRC yaidhinisha ombi la tume ya uchaguzi la kuahirisha uchaguzi mkuu ujao uliotegemewa kufanyika Novemba, ambao sasa utafanyika Aprili 2018. Papo kwa Papo 18.10.2016

https://p.dw.com/p/2ROMh