1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Paka Mtabiri

14 Juni 2018

Paka asiye na uwezo wa kusikia ndiye mtabiri wa mechi za kombe la dunia linaloanza leo Urusi. Katika jukumu lake la kwanza paka huyo mweupe kwa jina Achilles ametabiri kwamba Urusi itaishinda Saudi Arabia kwenye mechi ya ufunguzi Alhamis.

https://p.dw.com/p/2zWtx