1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Papa Francis asifiwa kwa uteuzi wa makadinali wapya

Mohammed Khelef5 Januari 2015

Uteuzi mpya wa makadinali wa Kanisa Katoliki uliotangazwa na Mkuu wa Kanisa hilo, Papa Francis, hapo jana umepongezwa na jamii ya kanisa, kwani sehemu kubwa ya wateule hao ni kutoka Asia, Amerika Kusini na Afrika.

https://p.dw.com/p/1EF1W
Papa Francis akisalimiana na makadinali kwenye makao makuu ya Kanisa Katoliki, Vatican.
Papa Francis akisalimiana na makadinali kwenye makao makuu ya Kanisa Katoliki, Vatican.Picha: Vincenzo Pinto/AFP/Getty Images

Dk. Charles Kitima, mtaalamu wa Sheria za Kanisa na Sheria za Kimataifa, ambaye pia ni mkuu wa zamani wa Chuo Kikuu cha Kanisa Katoliki cha Mtakatifu Augustine, Mwanza, Tanzania, anasema uteuzi huu mpya unamaanisha kwamba Papa Francis anataka Kanisa Katoliki liwe karibu zaidi na wafuasi wake hata kama wanatokea kwenye mataifa machanga na masikini.

Kusikiliza mahojiano kamili, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Mohammed Khelef
Mhariri: Iddi Ssessanga