1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Papa Francis yupo ziarani mjini Cairo

Sylvia Mwehozi
28 Aprili 2017

Rais wa Marekani Donald Trump ameonya uwezekano wa kutokea mgogoro mkubwa baina ya Marekani na Korea Kaskazin. Waandamanaji wamevamia bunge la Macedonia na kuanza kuwashambulia wabunge. Na Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewasili mjini Cairo, Misri kwa ziara ya siku mbili. Papo kwa Papo 28.04.2017

https://p.dw.com/p/2c60t