1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Papo kwa Papo 03.06.2016

3 Juni 2016

Rais Pierre Nkrunziza awaamuru waasi kusalimisha silaha katika muda wa siku 15, mkutano kuhusu mzozo wa mashariki ya Kati wafanyika Paris, Mgogoro wa kidiplomasia wafukuta kati ya Ujerumani na Uturuki kufuatia azimio kuhusu mauaji ya Waarmenia mika 100 iliyopita.

https://p.dw.com/p/1J0AG