1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Pemba: Mvutano kati ya KMKM na watetezi wa haki

28 Juni 2016

Kikosi maalumu cha kupambana na magendo KMKM kimezuia ndugu, jamaa na watetezi wa haki kukaribia mahakama ya Wete, Mkoani wa Kaskazini kwa kile walichodai ni maelekezo kutoka ngazi za juu.

https://p.dw.com/p/1JEs6
Ramani ya visiwa vya Zanzibar

[No title]

Tukio hilo lilitokea wakati wananchi kadhaa wakishikiliwa kwa tuhuma za kujihusisha na uharibifu wa mashamba na mali mbalimbali za makada wa Chama cha Mapinduzi kisiwani Pemba. Kutaka kufahamu zaidi kuhusu kinachoendelea Josephat Charo amezungumza na Mkurugenzi wa Haki za Binaadamu wa chama cha Wananchi, CUF, Pemba, Mwinyi Juma.