1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Poland yadai tena fidia kwa ajili ya vita na Ujerumani

Zainab Aziz Salim-Mtullya4 Oktoba 2017

Tarehe mosi ya mwezi Septemba mwaka 1993, majeshi ya mafashisti wa Ujerumani yaliivamia Poland, na Vita Vikuu vya Pili vilianza. Tunauangalia mvutano baina ya Poland na Ujerumani unaotokana na madhara yaliyosababishwa na majeshi ya Ujerumani kuingia Poland. Je, Poland inayo haki ya kudai fidia ya madhara hayo?

https://p.dw.com/p/2lCwa