1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi wazungumzia tukio la kuvamiwa Hits FM Zanzibar

Mjahida 3 Desemba 2015

Polisi visiwani Zanzibar imewatia mbaroni watu kadhaa baada ya kituo cha Hits FM kuchomwa moto na watu wasiojulikana, Kituo hicho ni radio mshirika wa DW.

https://p.dw.com/p/1HGqI
Partnersender von DW Kisuaheli zerstört
Picha: Hits FM

[No title]