1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Psssst! Sista! Njia gani sahihi ya kumuita mrembo?

Bruce Amani6 Machi 2018

Ikiwa unatembea barabarani au umekaa kijiweni na kisha ukamtupia jicho msichana ambaye ni mrembo kupita maelezo, na ungependa kumuonesha kuwa unamthamini au kumsifia kutokana na urembo wake, unafanyaje? Utapiga mbinja, au kumuita majina kama vile…mrembo? Hey toto,. au utamwambiaje? Atajihisi vipi? Ataweza kukujibu? Je, ni njia moja ya unyanyasaji wa kijinsia?

https://p.dw.com/p/2tkuN