1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

PYONGYANG.Korea Kusini yaonywa

26 Oktoba 2006
https://p.dw.com/p/CCzH

Korea kaskazini imeionya Korea Kusini dhidi ya kujiunga na Marekani katika vikwazo ilivyo wekewa nchi hiyo baada ya kufanya jaribio lake la nyuklia.

Pyongyang imesema itachukuwa hatua iwapo Seoul itashiriki katika kutekeleza vikwazo dhidi yake na kwamba hatua hiyo itasabisha vita katika ghuba ya Korea.