1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raia wa Mashariki ya Kongo wakumbuka miaka 14 ya vita vya waasi

2 Agosti 2012

Leo raia wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wanakumbuka miaka kumi na nne tangu vilipoanza vita vya waasi wa RCD.

https://p.dw.com/p/15idD
Kambi ya wakimbizi Goma
Kambi ya wakimbizi GomaPicha: Simone Schlindwein

Vita hivyo viligharimu maisha ya watu si chini ya milioni tano, vikiyahusisha mataifa 6 barani Afrika na kumalizika mnamo mwaka 2003. Sudi Mnette alizungumza na mchambuzi Ahmed Rajab akiwa visiwani Zanzibar na kwanza alimuuliza siku kama ya leo inamkumbusha nini?

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohammed Khelef