1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raia wa Msumbiji nchini Ujerumani wakusanya nguvu

24 Juni 2011

Raia wa Msumbiji wanaoishi nchini Ujerumani wana shirika lao maalum, linaloshughulikia ustawi wa jamii yao, ndani ya Ujerumani na hata iliyoko Msumbiji, katika nyanja mbalimbali zikiwemo za wanawake na watoto.

https://p.dw.com/p/RVbe
Akinamama wa Msumbiji wakifanya biashara zao katika mitaa ya Maputo
Akinamama wa Msumbiji wakifanya biashara zao katika mitaa ya MaputoPicha: Ismael Miquidade

Josephat Charo anazungumzia shughuli za Shirika la Raia wa Msumbiji wanaoishi Ujerumani, ambalo pamoja na mengine linajihusisha na uendelezaji wa mwanamke.

Mtayarishaji/Msimulizi: Josephat Charo
Mhariri: Othman Miraji