1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raila Odinga ataka serikali ya mpito Kenya

8 Novemba 2017

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, amependekeza kuundwa kwa serikali ya mpito ambayo itaongoza nchi kwa muda wa miezi sita, wakati katiba ikifanyiwa mabadiliko ili kupunguza madaraka ya rais. Odinga amesema tayari zipo dalili za mivutano itokanayo na mapungufu katika katiba iliyopitishwa mwaka 2010.

https://p.dw.com/p/2nHcM