1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Bush anamaliza ziara yake kwenye mataifa ya Ulaya

Omar Mutasa11 Juni 2007

Rais George Bush wa Marekani leo anamaliza ziara yake katika mataifa ya ulaya, ambapo amezitembelea zaidi, nchi zilizokua kwenye kambi ya Mashariki ya zamani.

https://p.dw.com/p/CHCt
Rais Bush na Rais wa Bulgaria
Rais Bush na Rais wa BulgariaPicha: AP

Bw Bush pia amezungumzia hatima ya wauguzi wa kiBulgaria walio hukumiwa adhabu ya kifo nchini Libya kua wanastahiki kuachiliwa huru na Serekali ya Libya.

Akikamilisha leo ziara yake ya siku 8 katika mataifa yaliokua ya kambi ya mashariki Rais George Bush wa Marekani amekua akitafuta ungaji mkono wa Jamhuri ya Czech, ili US iweze kujenga mtambo wa kudengua makombora ya Adui katika nchi hizi zilizokua katika kambi ya Mashariki ambapo Suala hilo limeifanya Serekali ya Urusi nayo kusema itaelekeza makombora yake katika nchi za ulaya ikiwa US itaendelea mbele na mpango huo.

Leo Rais Bush atakutana na mwenyeji wake Georgy Parvanov Rais wa Bulgaria pamoja na Waziri mkuu wa Bulgaria Sergey StanishevMoja ya mada kuu likiwa suala hilo la US kujenga kituo hicho nchini Bulgaria .

Bulgaria huenda isiwe na tatizo lolote katika mpango huo wa US kutaka kujenga kituo hicho nchini mwao, ni jambo ambalo waku wa Bulgaria itakua kama Ahsante kwao kuwa na mtambo huo.

Bulgaria ni mwanachama wa umoja wa nchi za kujihami wa Nato ikiwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya na wanajeshi wake zaidi ya mia 3 wamekua wakichangia kudumisha amani nchini Iraq, ambapo Askari wake 13 waliuawa nchini humo.

Bulgaria pia ina jeshi la watu 80 nchini Afghanistani, na idadi hio huenda ikaongezeka kufikia watu 200.

Katika ziara hii Rais Bush, aliitembelea nchi ya Albania kwa muda wa masaa manane ambapo alizungumzia suala la Jimbo la Kosovo lina haki ya kuwa nchi huru. Rais Bush alisema,namuunga mkono mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa, Martti Ahtisaari, kwa mpango wake kuwapa wa kosovo wenye Asili ya ki Albania waweze kujitawala,aliongeza kusema, mambo mawili nimeyaweka wazi, la kwanza lazima twende mbele na mpango huo, na la pili mwisho wake itakua Uhuru kamili.

Mnajua nililolisema lilikua wazi kwa kila mtuu, nilichosema ni Uhuru.

Rais Bush amewataka viongozi wa Libya wabatilishe uamuzi wao wa hukmu ya kifo ilioitolewa May 2004 na Mahkama ya Libya dhidi ya wauguzi watano waki Bulgaria pamoja na Daktari moja wa Kipalastina, kwamba waliwapa watoto 438 Damu iliokua na virusi vya Ukimwi, 56 kati ya hao,wameshafariki.

Mtoto wa Rais wa Libya, Seif Al-Islam oalikutana na waziri wa mambo ya njee wa Ujerumani, Frank walter steinmeier, pamoja na kamishna mkuu wa masuala ya njee wa Umoja wa ulaya, Benitta Ferrero na kuwaahidi kua, suala hilo huenda likatatuliwa na Serekali ya Libya.

Rais George Bush wa Marekani leo anamaliza ziara yake katika mataifa ya ulaya, ambapo amezitembelea zaidi, nchi zilizokua kwenye kambi ya Mashariki ya zamani.

Bw Bush pia amezungumzia hatima ya wauguzi wa kiBulgaria walio hukumiwa adhabu ya kifo nchini Libya kua wanastahiki kuachiliwa huru na Serekali ya Libya.

Akikamilisha leo ziara yake ya siku 8 katika mataifa yaliokua ya kambi ya mashariki Rais George Bush wa Marekani amekua akitafuta ungaji mkono wa Jamhuri ya Czech, ili US iweze kujenga mtambo wa kudengua makombora ya Adui katika nchi hizi zilizokua katika kambi ya Mashariki ambapo Suala hilo limeifanya Serekali ya Urusi nayo kusema itaelekeza makombora yake katika nchi za ulaya ikiwa US itaendelea mbele na mpango huo.

Leo Rais Bush atakutana na mwenyeji wake Georgy Parvanov Rais wa Bulgaria pamoja na Waziri mkuu wa Bulgaria Sergey Stanishev

Moja ya mada kuu likiwa suala hilo la US kujenga kituo hicho nchini Bulgaria .

Bulgaria huenda isiwe na tatizo lolote katika mpango huo wa US kutaka kujenga kituo hicho nchini mwao, ni jambo ambalo waku wa Bulgaria itakua kama Ahsante kwao kuwa na mtambo huo.

Bulgaria ni mwanachama wa umoja wa nchi za kujihami wa Nato ikiwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya na wanajeshi wake zaidi ya mia 3 wamekua wakichangia kudumisha amani nchini Iraq, ambapo Askari wake 13 waliuawa nchini humo.

Bulgaria pia ina jeshi la watu 80 nchini Afghanistani, na idadi hio huenda ikaongezeka kufikia watu 200.

Katika ziara hii Rais Bush, aliitembelea nchi ya Albania kwa muda wa masaa manane ambapo alizungumzia suala la Jimbo la Kosovo lina haki ya kuwa nchi huru. Rais Bush alisema,namuunga mkono mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa, Martti Ahtisaari, kwa mpango wake kuwapa wa kosovo wenye Asili ya ki Albania waweze kujitawala,aliongeza kusema, mambo mawili nimeyaweka wazi, la kwanza lazima twende mbele na mpango huo, na la pili mwisho wake itakua Uhuru kamili.

Mnajua nililolisema lilikua wazi kwa kila mtuu, nilichosema ni Uhuru.

Rais Bush amewataka viongozi wa Libya wabatilishe uamuzi wao wa hukmu ya kifo ilioitolewa May 2004 na Mahkama ya Libya dhidi ya wauguzi watano waki Bulgaria pamoja na Daktari moja wa Kipalastina, kwamba waliwapa watoto 438 Damu iliokua na virusi vya Ukimwi, 56 kati ya hao,wameshafariki.

Mtoto wa Rais wa Libya, Seif Al-Islam

alikutana na waziri wa mambo ya njee wa Ujerumani, Frank walter steinmeier, pamoja na kamishna mkuu wa masuala ya njee wa Umoja wa ulaya, Benitta Ferrero na kuwaahidi kua, suala hilo huenda likatatuliwa na Serekali ya Libya.