1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Kabila wa DRC awataka makundi ya wapiganaji eneo la Kivu kutekeleza mpango wa amani

19 Septemba 2008

Rais Joseph kabila amewaomba wapiganaji wa CNDP na makundi mengine ya wapiganaji wa kivu kutekeleza mpango wa Amani.

https://p.dw.com/p/FLFI
Rais Joseph Kabila wa DRCPicha: AP

Rais Kabila ametupilia mbali mazungumzo ya moja kwa moja na wapiganaji wa CNDP kama wanavyodai.Kwa wakati huohuo mandamano yanayopinga kuzuka upya kwa mapigano yamefanyika mjini Kinshasa,Kisangani na Bukavu.

Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo ana taarifa zaidi.