1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Kibaki amsimamisha kazi William Ruto

20 Oktoba 2010

Rais Mwai Kibaki wa Kenya amemsimamisha kazi Waziri wa Elimu ya Juu, sayansi na teknolojia William Ruto, kutokana na matokeo yaliyotolewa na mahakama nchini humo dhidi yake juu ya kashfa za rushwa zilizokuwa zikimkabili

https://p.dw.com/p/PjFp
Rais Mwai Kibaki wa KenyaPicha: AP Photo

Ikumbukwe kuwa Waziri Ruto ni mmoja wa wanasiasa nchini Kenya wenye nguvu na alikuwa ni mmoja ya wale waliokuwa wakiipinga katiba mpya iliyopitishwa nchini humo.Hatua hiyo imepokelewa kwa hisia tofauti huko nchini Kenya.

Sikiliza mahojiano kati ya Halima Nyanza na mchambuzi wa masuala ya siasa na katiba nchini Kenya.Bwana Haroun Ndubi.

Mwandishi: Halima Nyanza.

Mhariri:Josephat Charo