1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Kibaki asaini miswaada 30

Admin.WagnerD15 Januari 2013

Rais Mwai Kibaki wa Kenya, jana ametia saini miswaada 30 kwa mkupuo kuwa sheria, ukiwemo ule wa kumpa kitita cha mafao ya uzeeni sambamba na kutupilia mbali ile mingine kama huo kwa makamu wake wa rais na maafisa wengine

https://p.dw.com/p/17K7q
Kibaki.jpg ***Kibaki nach heftigen Protesten in Kenia gesprächsbereit *** ** FILE ** Kenya's President Mwai Kibaki is seen in Nairobi in this Dec. 12, 2007 file photo. Kibaki was re-elected in the closest presidential election in the country's history, the elections chief said Sunday, Dec. 30, 2007. The contest was marked by allegations of rigging on both sides. (AP Photo/Sayyid Azim, File)
Rais Mwai KibakiPicha: AP Photo

Sudi Mnette wa DW amezungumza na Mchambuzi wa siasa nchini Kenya, Stanley Makeo, kuhusu hatua ya kusaini mikataba hiyo ambayo haijawahi kutokea tangu uhuru wa Kenya. Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya kusikilizia masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri:Josephat Charo