1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Kikwete achukua fomu kugombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi

Josephat Nyiro Charo2 Agosti 2010

Uchaguzi mkuu unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu

https://p.dw.com/p/OaKh
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho KikwetePicha: DW

Mwenyekiti wa chama tawala cha mapinduzi CCM nchini Tanzania , Rais Jakaya Kikwete leo amekuchukua fomu ya kuwania kiti hicho kwa kipindi kingine cha miaka mitano katika mkuu uchaguzi utakaofanyika mwezi Oktoba. Hatua hiyo ilianza jana ambapo wagombea watatu, kutoka vyama vya TPP Maendeleo, TLP na kile cha Mchungaji Christopher Mtikila cha DP walijitokeza kuchukua fomu hizo.

Mwandishi wetu George Njogopa ametutumia taarifa ifuatayo kutoka Dar es Salaam

Mwandishi, George Njogopa

Mpitiaji, Peter Moss

Mhariri, Abdul-Rahman Mohamed