1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ziarani Kinshasa

31 Julai 2007

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Donald Kaberuka yuko mjini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemorkasi ya Kongo kwa ziara ya siku tatu.

https://p.dw.com/p/CHAI
Nembo ya Benki ya Maendeleo ya Afrika
Nembo ya Benki ya Maendeleo ya AfrikaPicha: ADB

Ziara yake ni ya uzinduzi wa ofisi ya kanda ya benki hiyo na vile vile kutathmini msaada wa benki ya ADB kwa nchi hiyio kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.

Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo anaripoti kamili kutoka Kinshasa.