1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais wa Colombia ashinda Nobel

Yusra Buwayhid
7 Oktoba 2016

Rais wa Colombia, Juan Manuel Santos, ashinda tuzo ya amani ya Nobel. Kimbunga Matthew kimewasili Florida, Marekani huku kikiwa kimesababisha vifo 339 nchini Haiti. Na, Shirika linalojihusisha na kupigania maslahi ya elimu nchini Tanzania la Hakielimu, limelaani vikali kupigwa kwa mwanafunzi Sebastian Chinguku na walimu wa shule ya sekondari ya Mbeya. Papo kwa Papo 07.10.2016.

https://p.dw.com/p/2R1Os