1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ripoti ya Haki za Binaadamu nchini Burundi

21 Julai 2008

Shirika la Kutetea haki za binadamu nchini Burundi Iteeka limetoa ripoti yake ya mwaka hii leo inayotathmini hali nchini humo.

https://p.dw.com/p/EgOw


Ripoti hiyo imebaini kutoweka kwa raia wa Burundi kuwa na matumaini ya haki ya kuishi.

Mwandishi wetu Amida Issa kutoka Bujumbura ana ripoti kamili.