1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ROM: Blair amekutana na Papa Benedikt XVI

23 Juni 2007
https://p.dw.com/p/CBp6

Waziri Mkuu wa Uingereza Tony Blair,amekutana na Papa Benedikt XVI.Kwa mujibu wa Vatikan,mada zilizojadiliwa ni mgogoro wa Mashariki ya Kati na mustakabali wa Umoja wa Ulaya.Mkutano huo wa faragha umefanywa,wakati kukivuma kuwa Blair anataka kuingia katika dini ya Katoliki.