1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ruto na matumaini mapya kwa Wakenya

Josephat Charo
9 Septemba 2022

Rais mteule William Samoei Ruto ataapishwa Jumanne Septemba 13 kuwa rais wa tano wa Jamhuri ya Kenya tangu nchi hiyo ilipopata uhuru wake kutoka kwa Uingereza mnamo 1963. Ruto anachukua mikoba ya kuiongoza nchi inayokabiliwa na changmoto kubwa ya mfumuko wa bei, kiwango kikubwa cha ukosefu wa ajira na ukame ulioyaathiri maeneo mengi ya nchi.

https://p.dw.com/p/4GbRW