1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Safari ya hatari Ukerewe Tanzania

Sudi Mnette
28 Novemba 2017

Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bwiro iliyopo kisiwani Ukerewe wanalazimika kutumia mtumbwi usiyo na vifaa vya kuwakinga na ajali kila siku wanapokwenda na kutoka shule, hali hii inatokana pia na ukosefu wa mabweni kwa wanafunzi wa shule hiyo

https://p.dw.com/p/2oNy4