1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sakata la kundi la Mungiki nchini Kenya

1 Juni 2007

Sakata la kundi haramu la Mungiki nchini Kenya linazidi kuzusha utata huku wanasiasa wakitupiana lawama juu ya suala hilo.

https://p.dw.com/p/CHDM

Kutofunguliwa mashtaka dhidi ya wabunge wa zamani David Manyara na mwenzake Adolf Muchiri kwa madai ya kuhusishwa na kundi hilo pia kumechemsha hisia za watu. Lakini baadhi ya wabunge nchini Kenya wanatetea uamuzi wa mahakama wakilaumu vyombo vya habari kwa kuchochea suala la Mungiki.

Saumu Mwasimba amezungumza na Mbunge wa Subukia Koigi Wamwere na kwanza anatoa mtazamo wake juu ya suala hilo.