1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sakata la sukari yenye zebaki Kenya

20 Juni 2018

Ipo shehena ya sukari nchini Kenya inayodaiwa kuchanganywa na madini ya shaba na zebaki na kuzusha hofu ya kiafya. Ripoti ya mkemia mkuu wa serikali kuhusu sakata hilo inatarajiwa kuwasilishwa kwa rais Kenyatta.

https://p.dw.com/p/2zunU
Kijiko cha sukari
Picha: picture-alliance/dpa/J.Kalaene

Kutoka mjini Nairobi DW imezungumza na mchambuzi wa siasa za Kenya Prof. Chacha Nyaigoti Chacha na kwanza kutaka kujua mkasa huo sio jambo la kisiasa?