1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Salaam za Idd El Hajj

31 Oktoba 2011

Karibuni waislamu wote duniani watasherehekea sikukuu ya Idd El Hajj.

https://p.dw.com/p/129xy
Kwenda Hija Makkah hutakiwa kutekelezwa mara moja kwa kila muislamu mwenye uwezo katika maisha yake.Picha: AP

Msikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle, katika wakati kama huu tunakukaribisha ututumie salaam zako za kusherehekea sikukuu ya Idd El Hajj kwa ndugu na marafiki kwa njia ya Email au hata facebook. Fanya hima!!