1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Samia Suluhu - makamu wa rais wa Tanzania

27 Novemba 2015

Kwa mara ya kwanza katika historia yake, Tanzania imepata makamu wa rais mwanamke. Je, Samia Suluhu ni nani? Kipindi cha Wanawake na Maendeleo kinazungumza na watu wanaomfahamu Samia Suluhu kwa ukaribu.

https://p.dw.com/p/1HDbE
Samia Suluhu
Picha: Getty Images/AFP/D. Hayduk

[No title]