1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sanaa na Utamaduni

Admin.WagnerD27 Novemba 2012

Chakacha ni ngoma ya asili yenye mtindo wa aina yake wa kucheza katika katika maeneo ya Pwani ya Kenya na Tanzania. Ingawa hivi sasa aina hiyo ya ngoma imepata umaarufu hata katika maeneo tofauti na ukanda wa Pwani

https://p.dw.com/p/16qcQ

Katika kipindi cha Sanaa na Utamaduni leo hii, Saumu Mwasimba amekuandalia kipindi kizuri kuhusu Chakacha ngoma maarufu kwa wenyeji wa pwani (Waswahili). Kusikiliza kipindi hicho bonyeza alama za kusikiliza masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sumu Mwasimba
Mhariri: Sudi Mnette