SANAA: Wasomali kwa maelfu wamekimbilia Yemen
25 Novemba 2006Matangazo
Kiasi ya Wasomali 22,000 wamekimbilia Yemen kwa sababu ya machafuko ya nchini mwao.Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi,hadi watu 355 wamepoteza maisha yao wakati wa kusafiri katika Ghuba ya Aden.Zaidi ya wakimbizi 150 bado hawajulikani walipo.