1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Seif Sharif ana matumaini ya ushindi Zanzibar

31 Oktoba 2010

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Seif Shariff Hamad, azungumza na Deutsche Welle na kuelezea matumaini makubwa ya kuibuka na ushindi katika uchaguzi wa leo

https://p.dw.com/p/Puso
Seif Shariff Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia CUF
Seif Shariff Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia CUFPicha: DW

Uchaguzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ule wa Visiwani Zanzibar kwa ajili ya urais, bunge, wawakilishi na madiwani unafanyika leo. Kabla ya kuanza zoezi hilo, Othman Miraji alifanya mahojiano na mgombea wa Chama kikuu cha upinzani, CUF, kwa ajili ya urais huko Zanzibar, na pia katibu mkuu wa Chama hicho, Seif Shariff Hamad, ambaye alikuwa na haya ya kusema: