1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya Kenya yatoa siku ya mwisho kwa wakimbizi wa ndani kondoka katika makambi

9 Oktoba 2009

<p>Nchini Kenya leo ni siku ya mwisho iliyotolewa na serikali,kwa wakimbizi wa ndani walioko katika makambi kuondoka katika maeneo hayo.

https://p.dw.com/p/K2wQ
Wakimbizi waliokimbia makaazi yao baada ya uchaguzi mwaka 2007Picha: Picture-Alliance /dpa
Wakimbizi hao waliyapoteza makaazi yao  kufuatia ghasia zilizotokea punde baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2007. Jane Nyingi amezungumza kwa njia ya simu na mwenyekiti wa wakimbizi hao wa ndani Peter Kariuki na kwanza alitaka kujua wamejiandaa vipi kwa shughuli hii.