1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya Tanzania ilipoteza shilingi trilioni 1.5?

20 Aprili 2018

Ni kati tu ya maswali ambayo yanajitokeza kupitia katuni hii ambayo imechorwa na Said Michael! Je fedha hizo zimeenda wapi, zilitumika vipi? Ni nani alizitumia? Maswali yanayohitaji kujibiwa.

https://p.dw.com/p/2wNbb