Serikali ya Umoja wa Kitaifa haitaanguka Z'bar - Mansour
23 Julai 2013
Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi na mmoja wa watu wanaounda Kamati ya Maridhiano, Mansour Yussuf Himidi, amesema licha ya changamoto zilizopo, Serikali ya Umoja wa Kitaifa visiwani Zanzibar haitavunjika.
https://p.dw.com/p/19D45
Matangazo
Kusikiliza mahojiano kamili, bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Makala: Kinagaubaga
Mahojiano: Mohammed Khelef/Mansour Himidi
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman