1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali yaanza Operesheni ya bomoabomoa mjini Kinshasa,Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

10 Julai 2007

Serikali nchini Kongo inaanzisha operesheni ya bomoabomoa ya makazi yaliyojengwa kiholela mjini Kinshasa.

https://p.dw.com/p/CHkG
Huu ni mtaa mjini Kinshasa
Huu ni mtaa mjini KinshasaPicha: pa/dpa

Zaidi ya maeneo 130 yanalazimika kubomolewa ili kuimarisha mazingira ya mji huo ulio na wakaazi zaidi ya milioni 10. Wakati huo huo mamia ya wanajeshi na familia zao wameondolewa kwenye makaazi ya serikali waliokuwa wakiishi mjini humo huo, na kupelekwa katika kambi mpya mashariki.

Maelezi zaidi na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo kutoka Kinshasa.