1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sherehe za Karnival mjini Cologne

11 Februari 2010

<p>Sherehe za Karnivali zimepamba moto hii leo hapa Ujerumani.

https://p.dw.com/p/Lyfn
Baadhi ya watu wanaosherehekea Karnival mjini ColognePicha: AP
Mjini Cologne mambo yamechacha ikiwa leo ni siku ambapo wanawake wanapata nafasi maalum. Josephat Charo amezungumza hivi punde na watangazaji wenzetu ambao wako huko Cologne, Lazaro Matalange na Grace Kabogo lakini kwanza ni Peter Moss.  

Mtayarishaji: Josephat Charo

Mhariri: Mohammed Abdulrahman