1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sheria ya kutovuta sigara katika maeneo ya umma nchini Kenya

12 Julai 2007

Wavutaji sigara katika sehemu za miji nchini Kenya wanakabiliwa na wasiwasi kutokana na kuanza sheria ya kutovuta sigara katika maeneo ya umma.

https://p.dw.com/p/CHkE
Sigara zimepigwa marufuku katika maeneo ya umma jijini Nairobi
Sigara zimepigwa marufuku katika maeneo ya umma jijini NairobiPicha: dpa