1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

SHINDANO JIPYA

7 Oktoba 2013

Tumelijaza tena kapu letu la zawadi kem kem, mikoba ya Deutsche Welle, redio za kisasa, I-Pod, na zawadi nyingine chungu nzima.

https://p.dw.com/p/15xDp
Digital Radio Mondiale, DRM, Radiogeräte, Empfänger, Radio, Foto: Himalaya, 2006
Picha: Himalaya

Tuambie ni nchi ipi ya Afrika mashariki itakayotimiza Desemba mwaka huu miaka 50 tangu ilipopata uhuru?

Ni Uganda, Tanzania, Kenya, Rwanda au Burundi?

Tuma jibu sahihi kwa anuani zifuatazo: S.L.P. 70087, Dar es Salaam, S.L.P. 7016, Kampala, na S.L.P.1327, Kigali. Pia unaweza kutuandikia moja kwa moja kutumia S.L.P. 53110, Bonn,Germany, au Barua Pepe kiswahili@dw.de
Acha kusuasua, kazi kwako!!!