1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

SHINDANO

29 Agosti 2014

Jinyakulie zawadi kwa kutudhihirishia ufahamu wako wa wanyama pori. Tuchoree au tuambie ni wanyama gani wawili wakubwa watano maarufu kama The Big Five wanaokabiliwa na kitisho cha kuangamia kutokana na uwindaji haramu?

https://p.dw.com/p/1AqxG
Picha: DW

Tuma jibu sahihi au mchoro wako kupitia Deutsche Welle, SLP 70087, Dar es salaam, au barua pepe kiswahili@dw.de

Simu za mkononi, iPods, redio na zawadi chungu nzima zinakusubiri!
DW Tunavuma kwa kishindo