1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shirika la NASA lagundua sayari mpya

Saumu Mwasimba
23 Februari 2017

Mazungumzo ya Syria yaanza tena Geneva Uswisi. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani rex Tillerson yuko ziarani Mexico kwa mazungumzo. Rais wa Somalia awataka Al-Shabaab waache vita na kujenga nchi. Na sayari mpya zagunduliwa.

https://p.dw.com/p/2Y9XU