1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya kimataifa dhidi ya uvutaji wa sigara

31 Mei 2012

Leo ni siku ya kimataifa dhidi ya matumizi ya Tumbaku,na uvutaji wa sigara.Kauli mbiu ya siku hii ni mapambano dhidi ya hujuma za harakati za kupinga uvutaji sigara.

https://p.dw.com/p/155L6
Uvutaji sigara unaathiri afya ya binaadamu
Uvutaji sigara unaathiri afya ya binaadamuPicha: dpa

Hata hivyo wakati siku hii ikiadhimishwa Kimataifa ni wengi ambao wanaonekana kutofahamu juu ya siku hii.Tumekusanya maoni ya wananchi mbali mbali Afrika Mashariki na walikuwa na haya ya kusema.

(Kusikiliza maoni hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Saumu Mwasimba

Mhariri: Mohamed Abdulrahman