1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu

3 Desemba 2012

Leo ni siku ya kimataifa ya watu wenye Ulemavu Duniani ambapo inakadiriwa zaidi ya watu bilioni moja au asilimia 15 ya idadi ya watu duniani wanaishi na aina fulani ya ulemavu.

https://p.dw.com/p/16ufQ
Maandamano dhidi ya unyanyasaji kwa walemavu.
Maandamano dhidi ya unyanyasaji kwa walemavu.Picha: JAVIER SORIANO/AFP/Getty Images

Kauli Mbiu katika siku hii ni "Ondoa vizuizi kuweka mazingira yanayozingatia watu wote", ambapo kutoka Dar es Salaam mlemavu asiyeona, Mwalimu Ereniko Attanas, aliyepoteza uwezo wa kuona akiwa na umri wa miaka 7 na sasa anamudu kufanya mengi ikiwemo kutunza familia yake, anazungumza na Deutsche Welle. Bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini kusikiliza mahojiano hayo.

Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Yusuf Saumu