1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya Kupambana na Rushwa duniani

9 Desemba 2008

Leo ni siku ya kupambana na rushwa duniani. Katika nchi nyingi za Afrika kumekuwa na hamasa kubwa kwa wananchi kutaka serikali zao kupambana na rushwa hasa katika ngazi ya juu ya uongozi.

https://p.dw.com/p/GC8I

Sekione Kitojo alizungumza na msemaji wa tume ya kupambana na rushwa nchini Kenya Nicholaus Simani ambaye anaelezea kuhusu vipi siku hii inaadhimishwa nchini Kenya.